Thursday, July 29, 2010

Wanahabari hasa wa Mahakamani tunasikitika na msiba wa mpendwa wetu Primitiva


SHUGHULI ya kumuaga mwenzetu, mpendwa wetu ilikuwa ni leo Julai 29, mwaka huu ambapo misa ilifanyika Kinondoni katika kanisa Katoliki la Hananasivu, ilikuwa ni huzuni ya aina yake kila kwa aliyemfahamu...

Tutamkumbuka siku zote za uhai wetu, naungana na wanamahakama katika kipindi hiki kigumu.

Saturday, July 17, 2010

Grace Michael

Grace Michael

Karibuni wasomaji wangu

Bi. Grace MIchael akiwasilisha mada ya uvujaji wa dawa za Serikali kwa wadau wa Bohari Kuu ya Dawa ambao walikutana katika semina ya kukumbushana wajibu wao katika kuwatumia wananchi hasa katika sekta ya afya.